TARATIBU ZA KUJIUNGA NA KIKUNDI CHA SAFARI YA SANAA MANISPAA YA MKOA WA SHINYANGA. Kwa wote mnaohitaji kujiunga na kikundi cha safari ya sanaa (The art safari entertainment).mnakaribishwa sana ,kikundi kwa sasa kimesajiriwa katika manispaa ya mkoa wa shinyanga na kikundi kinafanya shunghurizake ndani ya manispaa ya mkoa wa shinyanga na wilaya zake zote ambazo ni Shinyanga vijijini,Kahama,Ushetu,Msalala,Kishapu, na Shinyanga mjini yenyewe.pamoja na hayo kikundi kina jishughulisha na mambo mbalimbali kama vile: Uhamasishiji/Uelimishaji makundilika, Uigizaji, Uimbaliji, Ufundi stadi/ Uzalishajimali, Kuandaa matangazo ya biashara Jinsi ya kujiunga ni rahisi sana kama unahitaji kujiunga na unapatikana ndani ya manispaa ya mkoa wa shinyanga, njoo mpaka shy com mnala wa voda ulizia kwa Yusfu fundi simu ukifika utakutana na katibu wa kikundi ISSA YASIN MASUNZU,Utalipia sh5000 kwa ajiri ya form na utalipia sh1000 kwa ajiri ya ada ya mwezi mmja. Kama unapatikana nje...