TARATIBU ZA KUJIUNGA NA KIKUNDI
CHA
SAFARI YA SANAA
MANISPAA YA MKOA WA SHINYANGA.
- Kwa wote mnaohitaji kujiunga na kikundi cha safari ya sanaa (The art safari entertainment).mnakaribishwa sana ,kikundi kwa sasa kimesajiriwa katika manispaa ya mkoa wa shinyanga na kikundi kinafanya shunghurizake ndani ya manispaa ya mkoa wa shinyanga na wilaya zake zote ambazo ni Shinyanga vijijini,Kahama,Ushetu,Msalala,Kishapu, na Shinyanga mjini yenyewe.pamoja na hayo kikundi kina jishughulisha na mambo mbalimbali kama vile:
- Uhamasishiji/Uelimishaji makundilika,
- Uigizaji,
- Uimbaliji,
- Ufundi stadi/ Uzalishajimali,
- Kuandaa matangazo ya biashara
Kama unapatikana nje ya manispaa ya mkoa wa shinyanga piga simu namba 076763636, 0754747433, 0764140707, Kwa maelekezo zaidi.
THE ART SAFARI ENTERTAINMENT 2017
KIPAJICHAKO
AJIRA YAKO.
Comments
Post a Comment